Sherehe Ughaibuni, Machozi Mtaani: Uhalisia wa Kushindwa kwa Maandamano ya Saba Saba
Uchambuzi wa kina kuhusu harakati za mtandaoni kutoka ughaibuni zilivyoshindwa kugusa maisha halisi ya mtaani, na jinsi maslahi binafsi ya wanaharakati wa nje yalivyosababisha maandamano ya 7/7 kufeli.